LATEST NEWS

Wednesday, March 29, 2017

Tanesco yaomba radhi kukatika kwa umeme

 
Shirika la umeme nchini Tanesco limewaomba radhi wateja wake waliopo katika mikoa iliyounganisha na gridi ya taifa kutokana na usumbufu wa kukatikiwa umeme leo asubuhi. Taarifa ya shirika hilo ilisema kukatika kwa umeme huo ni hitilafu katika gridi ya Taifa. “Tunaomba radhi kwa usumbufu uliotokea au utakaojitokeza'”ilisema sehemu ya taarifa hiyo Umeme ulikatika asubuhi saa 12:30 katika mikoa hiyo.

No comments:

Post a Comment

Adbox