Kmanda wa polisi mkoani Arusha amedhibitisha kutokea kwa
tukio hilo na kutaja idadi ya watu walio fariki ikiwememo wanafunzi 29
na watu wazima 3 akiwemo Dereva

Akielezea kutokea kwa tukio hilo kamanda Mkumbo amesema chanzo cha ajali hiyo ni Dereva kushindwa kumudu Barabara ambayo ilikua ina muinuko na kusababisha Gari aina ya toyota costa kutumbukia bondeni na kusababisha ajali hiyo

No comments:
Post a Comment