LATEST NEWS

Friday, May 12, 2017

MAN UNITED YAINGIA FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE, KUMENYANA NA AJAX

 
 Marouane Fellaini (kulia) akishangilia na Jesse Lingard (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao dakika ya 17 katika sare ya 1-1 na Celta Vigo ya Hispania kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Bao la Vigo lilifungwa na Facundo Roncaglia dakika ya 85 na Man United inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya kushinda 1-0 Hispania wiki iliyopita na itakutana na Ajax katika fainali Mei 24 nchini Sweden. Refa Ovidiu Alin Hategan wa Romania aliwatoa kwa kadi nyekundu wote, Roncaglia wa Celta Vigo na Eric Bailly kufuatuia kugombana

No comments:

Post a Comment

Adbox