
Mkuu wa mkoa
wa manyara mh Joel Bendera amewataka wananchi wa mji mdogo wa mererani kutuza
mazingira kwa kupanda mti ili kuondokana na tatizo la mvua ambalo litasababisha
njaa kitaifa
Akizungumza na
wananchi katika ziara yake ya siku moja
katika mji mdogo wa mirerani na mh joel benderaa amesema lazima nchi ijifunze kwa
kupitia manyara kwamba mazingira ni muhimu hivyo amezindua kampeni ya kupanda
miti katika shule ya sekondari ya mireran b.w mkapa yenye ushindani wakutuza
mti
![]() |
| Mkuu wa mkoa manyara mh Joel Bendera akipanda mti katika shele ya sekondari Mirerani B.W.Mkapa |

Aidha
kampuni ya Tanzanite one imeanzisha kampeni ya upandaji miti kwa kupanda miche
ya miti elfu moja na mia mbili kama shamba darasa,katika shule ya sekondari
mirerani benjamini wiliamu mkapa na kuwataka wanafunzi kutunza miti hiyo kwa
ushindani na mshindi wakwanza mpaka watatu atapewa zawadi ambapo lengo ni
kutunza mazingira
![]() | |
| Mkurugenzi Mbia Tanzanite One ndg Faisal Juna Shahbhai akipanda mti katika shule ya sekondari Mirerani B.W.Mkapa |
Mkuu wa mkoa
wa mananyara mh joel bendera amefanya ziara yake ya siku moja huko mirerani kwa
kuzindua na kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule ya msingi songambele,
uzinduzi wa kampeni ya kupanda mitikatika shule ya mireran b.w.mkapa, ukaguzi
wa kituo cha mama na mototo katika kituo cha afya mirerani na kupongeza shughuli
za makimaendeleo zinazoendelea katika mji huoo




















No comments:
Post a Comment