Mvua
zinazoendelea kunyesha Bukoba mkoani Kagera zimeleta athari mbalimbali
kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuharibu miundombinu ya barabara
Eneo
la Bulila Kemondo Bukoba Vijijini ,Barabara ikiwa imekatika kufuata
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuleta usumbufu kwa abiria kutoka
eneo moja kwenda jingine.
Wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari katika kipindi hichi cha mvua zinazoendelea kunyesha.




No comments:
Post a Comment