Tukio hilo
ambalo liliamsha hisia za waandishi mkoani hapa limetokea katika
mazingira ambayo bado hayajatolewa ufafanuzi. Kwa mujibu wa maelezo ya
awali ya ki Upelelezi yalisema kuwa watuhumiwa hao waliwekwa chini ya
ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Miongoni
mwa waliokamatwa ni Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa
dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10. Viongozi wa dini bado
wanaendelea kuhojiwa.
Jeshi la polisi mkoani Arusha kwa kupitia kaimu Kamanda Yusuph Ilembo amesema hakukamata mwandishi yoyoyte bali walipewa lifti

No comments:
Post a Comment