LATEST NEWS

Thursday, February 9, 2017

Serikali yasema imeunda tume ya Umwagiliaji

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi GERSON LWENGE amesema serikali imeanzisha Tume ya Umwagiliaji kwa kuwa miradi mingi ya kilimo cha umwagiliaji imekumbwa na matatizo.


Akijibu swali Mjini DODOMA Waziri LWENGE amesema Tume ya Umwagiliaji itasaidia kupunguza migogoro hiyo.

Naye Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi EDWIN NGONYANI amesema Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini -SUMATRA ndiyo yenye dhamana ya kudhibiti vyombo vya usafiri wa majini kwa kuangalia kiwango cha abiria na uzito. Akijibu swali Bungeni Mjini DODOMA Naibu Waziri NGONYANI amesema kuwa wataalamu wa SUMATRA ndio wenye mamlaka ya kuruhusu chombo kufanya kazi

No comments:

Post a Comment

Adbox