Chama cha ACT WAZALENDO hapo kesho kinatarajia kufanya kongamano
kubwa la kuenzi Azimio la Arusha litakaloshirikisha vyama mbali mbali
vya kisiasa pamoja pia na watu mashuhuri kutoka ndani na nje ya nchiHayo yamebainishwa na mkt wa cha,Act Wazalendo Taifa Bii Anna Mgwira wakati akizungumza na kipindi hiki katika mahojiano maalum………………..
Audio Play Sikiliza hapa

No comments:
Post a Comment