LATEST NEWS

Friday, March 17, 2017

DROO YA ROBO FAINALI MABINGWA ULAYA YAFANYIKA MCHANA HUU


Droo ya robo fainali ya kombe la Mabingwa Barani Ulaya imefanyika leo mchana kwa timu nane zilizoingia kwenye hatua hiyo kupangwa.

 WhatsApp Image 2017-03-17 at 04.17.00




Mechi hizo zitaanza kupigwa April 11 na 12 na droo hiyo iliendeshwa na mshambuliaji wa zamani wa timu Liverpol, Juventus na Wales Ian Rush (55).

Rush ameweka rekodi ya kufunga magoli 346 akiwa na timu ya Liverpool na magoli 28 kwenye michezo ya kimataifa 79 akiwa na timu yake ya taifa ya Wales.

No comments:

Post a Comment

Adbox