Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Msemaji wa Simba, Haji Manara.Pia nakulipa faini ya Shilingi milioni 9.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa
amesema Manara amefungiwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde, Msemwa amesema uamuzi huo
umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu.
Sunday, April 23, 2017
Breaking Newzz: TFF yamfungia Haji Manara miezi 12
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment