Rais Magufuli amesema Watumishi 9932 waliobainika kuwa na vyeti feki watakiwa kunyang'anywa ajira zao na adhabu ya kufungwa miaka saba wakati huo na watumishi wengine wengine 1538 aagiza wasipewe mshahara wa mwezi huu mpaka mtakapo baini uhalali wa vyeti vyao mwisho ni tarehe 15 wizara husika iwe imesha lifanyia kazi swala hilo
Amesema kwa kuwa watumishi hao wanajijua, hata majina yao yachapishwe kwenye magazeti kwa kuwa wameiibia serikali.
No comments:
Post a Comment