Robo fainali za UEFA Champions Ligi na UCL zinaanza kuchezwa leo Jumanne kwa mechi 2 na Jumatano pia mechi 2 wakati mechi za marudiano ni wiki ijayo.
Mechi za leo ni kati ya Borussia Dortmund na Monaco, huku mechi nyingine ni kati ya Barcelona na Juventus. Mechi za kesho ni kati ya Atletico Madrid na Leicester City na nyingine ni Bayern Munich na mabingwa watetezi Real Madrid.
Tuesday, April 11
No comments:
Post a Comment