Msaada kwa Somalia kufuati janga la njaa ambalo limesababishwa na ukame katika pembe la Afrika.
Zaidi ya watu milioni 6 nchini Somalia wamekumbwa na kuathirika na
janga la ukame ambalo linasabaisha njaa na matatizo ya ukosefu wa lishe
bora.
Baada ya janga la njaa la mwaka 2011, kwa mara nyingine Somalia imekumbwa na janga la njaa.
Raia wa Somalia wamekuwa wakitegemea kwa kiasi kikubwa msaada wa kimataifa ili kukidhi mahitaji.
Shirika la kutoa misaada la Uturuki la İHH kwa ushirikiano na wizara ya
masuala ya kidini Diyanet limetoa wito wa kupambana dhidi ya ukame na
njaa nchini Somalia.
No comments:
Post a Comment