Matengenezo ya mradi wa barabara ya BP- SUNFLAG wenye km 0.85 kwa kiwango cha lami upo katika kata y a Themi na mkandarasi Rocktronic LTD kwa lengo la kuboresha miundombinu ya barabara ndani ya kata hiyo pamoja na wilaya ya arusha kwa ujumla
MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO MASHAKA GAMBO AKISOMEWA TAARIFA YA MRADI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG
BARABARA YA BP-SUNFLAG

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AKIKAGUA MAGARI YA UJENZI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG
MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO AKIENDESHA KATAPILA LA UJENZI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AKISHUKA KATIKA KATAPILA LA UJENZI WA BARABARA YA BP-SUNFLAG
No comments:
Post a Comment