Timu ya taifa ya tanzania Serengeti Boys imeongeza Goli la pili ndani ya dakika ya 68 dhidi a Timu ya taifa ya Angola ambapo ina goli moja mpaka sasa Endelea kufuatilia mtinange huu
No comments:
Post a Comment