LATEST NEWS

Tuesday, June 27, 2017

BALOZI NCHIMBI AJITAMBULISHA KWA RAIS MICHEL TEMER WA BRAZIL


Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (kulia) akiwasilisha hati ya utambulisho kwa Rais wa Brazil, Michel Temer wakati alipofika kujitambulisha katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, nchini humo, hivi karibuni.Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (kulia) akisalimiana na Rais wa Brazil, Michel Temer wakati alifika kujitambulisha katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, nchini humo, hivi karibuni.

Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Balozi Emmanuel Nchimbi (wa pili kulia) akiwa ameambatana na Mkewe (kulia kwake) wakiwasili katika Ikulu ya Palácio do Planalto Jijini Brasilia, alipokwenda kujitambulisha kwa Rais Michel Temer.

No comments:

Post a Comment

Adbox