LATEST NEWS

Wednesday, July 26, 2017

Diwani wa Chadema ajiuzulu kwa "MBOWE"

3 minutes ago
KLM: Diwani wa Kata ya Machame Magharibi (CHADEMA), Goodluck Kimaro amejiunga CCM akidai chama hicho hakina demokrasia kama kinavyojinasibu.

No comments:

Post a Comment

Adbox