Mwalimu wa zamani wa shule nchini Australia Jeff Horn, ameshangaza ulimwengu wa ndondi kwa kumshinda bingwa wa dunia raia wa Ufilipino Manny Pacquiao.
Jeff Horn alishinda kwa pointi katika pambano la raundi 12 na kupata taji la welterweight mbele ya mshabiki elfu hamsini. Kushindwa kwa Manny Pacquiao kumewashangaza mashabiki wengi nchini ufilipino ambako yeye ni nyota wa kitaifa na seneta aliyechaguliwa.
Monday, July 3, 2017
Ndondi: Man Pacquiao apigwa na mwalimu wa zamani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment