Rais
wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili nchini Tanzania na kupokelewa
na mwenyeji wake, Rais John Pombe Magufuli kwa ziara ya kikazi ya siku
mbili.
Amewasili kwa ndege maalum ya serikali ya Misri na kupokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment