LATEST NEWS

Wednesday, August 16, 2017

TIZAMA PICHA JINSI SOKO LA SIDO LILIVYOTEKETEA KWA MOTO JIJINI MBEYA

Baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Sido lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, wakiangalia namna mali zao zilivyoteketea bila kujua cha kufanya. Moto huo ulioanza jana usiku umeteketeza eneo kubwa la soko hilo ambapo mali zilizoteketea bado thamani yake haijafahamika. chanzo cha moto huo pia bado hakijafahamika.

Muonekano wa eneo yalipokuwepo mabada ya wafanyabiashara hao baada ya kuteketea kwa moto.

Kila kitu kimeungua.

Mmoja wa wafanyabiasha akiwa amebeba sehemu ya mali za dukani kwake alizobahatika kuziokoa.


Wakiangalia kama kuna mabaki yeyote.





PICHA ZOTE NA FADHIL ATICK A.K.A MRPENGO

No comments:

Post a Comment

Adbox