LATEST NEWS

Thursday, September 7, 2017

Breaking News. Mtuhumiwa wa mauwaji na mtekaji afariki Dunia

Picha ya King Alphonce Saul KusagaMtuhumiwa aliyekuwa amehusika na mauaji ya watoto 2 Ikram na Morin aliyefahamika kwa jina la Samson Peter mwenye umri wa miaka 18 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akijaribu kuwatoroka askari polisi aliokuwa anawapeleka Kata ya muriet kuwaonyesha washiriki wenzake.

Baada ya hapo alipelekwa hospital ya Mount Meru kwa matibabu lakini akapoteza maisha.

No comments:

Post a Comment

Adbox