Kiungo
mpya wa Chelsea, Danny Drinkwater ameanza kazi rasmi. Drinkwater
amesajiliwa na Chelsea kutoka Leicester City na tayari ameanza mazoezi
na kikosi hicho.
Pamoja na kuwepo na michuano ya kimataifa, wachezaji ambao hawajaitwa
katika timu za taifa wameendelea kujifua chini ya kocha Antonio Conte.
No comments:
Post a Comment