
Mchezaji wa tenisi Heather Watson
ametupwa nje ya michuano ya wazi ya Miami katika mchezo wa kwanza
dhidi ya mbrazili Beatriz Haddad Maia.
Huu ni mchezo wa sita mfululizo kwa Watson kupoteza tangu afuzu hatua ya nusu fainali za michuano ya kimataifa ya Hobart mwezi Januari mwaka huu, alipoteza dhidi ya Victoria Azarenka katika mzunguko wa kwanza kwenye mchezo wa mapema michuano ya India mwezi huu.
No comments:
Post a Comment