Video Vixen maarufu nchini Agness Masogange amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya Mama Ngoma jijini Darb,Chanzo kutoka kwa mtu wake wa karibu kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Tunafuatilia kwa karibu kukujuza nini ambacho kinaendelea kuhusiana na msiba huo.
No comments:
Post a Comment