Wednesday, April 18, 2018

IGP akabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akishuhudia Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba akimkabidhi IGP Simon Sirro ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho ghafi iliyosafirishwa kwenda Vietnam mjini Dodoma leo Aprili 18.2018. Picha na Ofisi ya Waziri mkuu.

No comments:

Post a Comment

Adbox