LATEST NEWS

Wednesday, April 18, 2018

Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Mwenyekiti Chama cha Wasioona Tanzania (TLB)

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Robert Bundala, nje ya jengo la utawala bungeni mjini Dodoma leo Aprili 18, 2018. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamotona na watatu kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wasiyoona Tanzania(TLB), Jonas Lubago. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

Adbox