LATEST NEWS

Sunday, April 23, 2017

HIKI NDIO CHANZO CHA KUPUNGUA UKUBWA WA UUME NA MATIBABU YAKE..

NA DR. MABISI


 


kupigwa na baridi au kuoga maji ya baridi husababisha uume kuaenekana mdogo na baridi ikiondoka uume hurudi kua vilevile, hii ni kawaida kwa wanume wote duniani lakini kuna baadhi ya mambo yanatokea kwa mwanume au ambayo mwanaume mwenyewe anayafanya yanaweza kumpunguzia ukubwa wa uume na kua mdogo na usirudi katika hali yake ya zamani.



je ukubwa wa uume kwa kawaida ukoje?

kwa hali ya kawaida uume unakua na vipimo vifuatavyo katika jamii nyingi duniani, vipimo hivi hutofautina wakati mwingine kutokana na nchi na nchi kwani wengine huweza kua zaidi ya hapa..

uume ukiwa umelala ni nchi 3.4 mpaka nchi 3.7 [au sentimita 8.6 mpaka 9.3]

uume ukiwa umesimama urefu wake ni nchi 5.1 mpaka nchi 5.7[ sentimita 12.9 mpaka 14.5]

uume ukiwa umesimama unene ni nchi 3.5 mpaka nchi 3.9[ sentimita 8.8 mpaka 10]

nini kinapunguza ukubwa wa uume?

wanaume wengi hawaridhiki na ukubwa wa uume wao hata kama ni mkubwa, na wengine wanaona kabisa uume umepungua ukubwa wakilinganisha na miaka iliyopita bila kujua sababu ya msingi lakini mambo yafuatayo yanaweza kufanya uume wa mtu ukapungua.

unene na kitambi; unene hufanya mafuta mengi kuongezeka tumboni na maeneo mengine ya uume, hii hufanya uume uonekane mdogo kuliko mwanzo hata ukiwa unaingia ukeni huzuiliwa na mafuta yaliyoota mwisho wa uume, lakini pia mafuta ya ndani ya mishipa ya damu ambayo yanazuia damu ya kutosha isifike kwenye uume husababisha uume usimame kwa shida sana na kua mdogo.

umri; umri wa mwanaume unavyozidi kua mkubwa uume pia huzidi kua mdogo hii husababishwa na kupungua kwa homoni za mfumo wa uzazi wa uume ambapo homoni hizi hizi ndio huufanya uume kua mkubwa kipindi mwanaume anabalehe kwa mara ya kwanza, lakini umri haupunguzi uume tu hata nyama za mwili wote kwa ujumla sababu ya kupungua kwa uwezo wa mwili kutengeneza seli mpya, ndio maana wazee wengi misuli ni midogo.

kutoshiriki tendo la ndoa kwa mara kwa mara; uume ni kama misuli mingine ya mwili, misuli inayofanya kazi mara kwa mara hua mikubwa na minene kama watu wanaofanya mazoezi ya kubeba chuma au watu wanaofanya kazi ngumu lakini misuli ikiwa haifanyishwi kazi hupungua ukubwa, hivyo kushiriki tendo la ndoa angalau mara nne kwa wiki husaidia.

ukoo; baadhi ya koo fulani unakuta familia nzima ina uume mdogo, hii husababishwa na homoni ya testesterone kwenye miili yao kushindwa kufanya kazi vizuri lakini pia baaadhi ya koo wamebarikiwa na maumbile makubwa.

upasuaji wa tezi dume; tafiti zimeonyesha kwamba upasuaji wa kuondoa tize dume husababisha uume kuingia ndani kidogo, utafiti huu ulifanyika nchini marekani kwa wanaume 126 ambao miezi kadhaa baada ya upasuaji huu walikiri kupungua kwa ukubwa wa uume.

kupiga punyeto au kujichua; uume ni kiungo laini sana ambacho hakitaki usumbufu kabisa ndio maana uke wa mwanamke una kuta laini sana ambazo haziwezi kuharibu uume, lakini unapotumia mikono yako kujichua unaumiza mishipa ya juu ya uume inayoingiza na kutoa damu lakini pia unaweza kusababisha makovu ya ndani ya misuli na kuzuia damu kufika kwa uhakika, hiki ni chanzo kikubwa cha kupungua ukubwa na nguvu za kiume kwa vijana wadogo ambao mara nyingi hujichua sana.

kuvuta sigara; kemikali ya nicotine iliyoko kwenye sigara huziba mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume, hii husababisha uume kukosa virutubisho na damu ya kutosha na kupungua ukubwa pamoja na nguvu zake.

suluhisho ni nini?

jambo la msingi sana ni kuzuia chanzo husika cha kupungua kwa uume kwa kuacha mambo ambayo yanasababisha uume wako kupungua kama ifuatavyo...

acha kupiga punyeto; najua kuacha kupiga punyeto sio swala dogo lakini naomba nikwambie kwamba kama hauchi kujichua unaendelea kujiua

punguza unene na kitambi; unene ni hali ambayo inaweza kuisha kama mtu akiamua kupungua, zipo program nyingi sana za kupungua uzito na kuisha kabisa kwa gharama za kawaida tu

acha kuvuta sigara; sigara ina addiction sana na sio rahisi kuiacha lakini kuna jinsi ya kuacha sigara ukiamua

tumia virutubisho vya kuongeza homoni ya testosterone; kama wewe mwanaume uko zaidi ya miaka 40 na unaona uume wako umepungua kuliko zamani huenda homoni zako za testosterone zimeanza kushuka hivyo kuna virutubisho unaweza kutumia mara kwa mara ili kuweka kiwango cha homoni hizo kwenye kiwango cha kawaida.[tuwasiliane ukihitaji]

mazoezi ya kuongeza uuume; uume ambao hauna mazoezi au haushiriki tendo la ndoa mara kwa mara hupungua na kua mdogo kama nilivyosema hapo juu, hivyo unaweza kuufanya uume ue active kwa kufanya mazoezi ya uume ambayo yanaongeza damu kwenye uume na yamethibitika kuongeza ukubwa wa uume marudufu kwa watu ambao uume wao umepungua au ni mdogo tangu mwanzo

No comments:

Post a Comment

Adbox