Maelfu ya raia wa Afrika Kusini, wakiwamo viongozi wa vyama vya
upinzani, taasisi za kiraia na wanaharakati wanatarajia kufanya
maandamano kumshinikiza Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, ajiuzulu.
Maandamano hayo yataanzia katika Mnara wa Kanisa, Pretoria, hadi katika eneo la Union Building.
Wednesday, April 12, 2017
Maelfu wajipanga kuandamana Afrika Kusini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment