LATEST NEWS

Friday, April 28, 2017

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa anakagua vyumba vya madarasa ya Sinoni-ARUSHA.

 

na leo Amekagua majengo ya vyumba vya madarasa vilivyo jengwa pamoja na kuweka matawati katika vyumba vyote vya madarasa katika shule ya mshingi Engosingiu ilipo katika ya Sinoni jijini Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na mkuu wa shule hiyo ya msingi Bw Peter Mariale na wa kwanza kulia ni mkurugenzi wa jiji la Arusha.Wakati huo huo, Gambo amewataka wataalamu wa vitambulisho vya taifa kuwafuata walimu mashuleni na kuwapiga picha kwa ajili ya vitambulisho vyao na sio walimu kwenda halmashauri na kuacha vipindi vya masomo kwa wanafunzi.
 
Mmoja wa walimu wa shule ya msingi Engosingiu na muuliza mkuu wa mkoa Mrisho Gambo juu ya kucheleweshewa fedha zao za likizo na kutokupandishwa madraja kwa kipindi kirefu.

No comments:

Post a Comment

Adbox