Mjenzi wa Barabara hiyo kupitia kampuni ya Jiangxi Geo Engineering (Group) Carpotation. Barabara hio ambyo itaunganisha kata za Themi,Sokon One,Unga Ltd pamoja na sinon pamoja na kuunganisha barabara za Unga Ltd na Murriet. Huku lengo kuu la mradi likiwa ni kuboresha miundo mbinu ndani ya jiji la Arusha na kukuza fursa za kiuchumi.
KATIKA HATUA NYINGINE, Rc Mrisho Gambo amezindua Daraja la mto Ngarenero katika barabara ya Lolovono katika kata ya sokoni 1,ambapo ujenzi wa daraja hilo limejenhwa na mkandarasi Meero Contactors Ltd wa jijini arusha. Huku lenho la mradi likiwa ni kuboresha miundo mbinu ya sokoni 1.
Ambapo Mrisho Gambo amewataka wananchi wa maeneo hayo kulinda daraja hilo na kuto wataka watu kujenge pembezoni mwa mto huo kama sheria zinavyo sema huku wakiendelea kujali na kulinda miundo mbinu hiyo hasa daraja hilo liloghalimu kiasi cha sh 195,705,419.oo hadi kukamilika kwake
No comments:
Post a Comment