Humphrey Polepole amesema kuwa utoaji wa elimu bure ya msingi na hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali katika sekta ya utumishi wa umma na mageuzi ya muundo wa Chama zimelenga kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma.
Polepole ametoa ufafanuzi huo kufuatia baadhi ya wanachuo kutoka Shirikisho la Vyuo Vikuu (UVCCM) Mkoani Tabora wakati wa kongamano la kuomba erikali kuongeza kasi ya utoaji vibali vya ajira katika sekta ya umma, fedha kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanachuo na kuongeza wigo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini .
Amesema utoaji wa elimu bure ni sera ya kitaifa ya kiserikali ambayo inatakiwa kila mdau ashiriki kikamilifu ili kuhakikisha kila mwananchi anapatiwa elimu stahiki.
Monday, April 10, 2017
Utoaji wa elimu bure wasaidia kudhibiti matumizi mabaya ya fedha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment