LATEST NEWS

Monday, May 1, 2017

Fainali ya kombe la TFF sasa Mei 28, uwanja bado ni kitendawili

Related image

Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) itafanyika Mei 28, mwaka huu katika uwanja utakaotajwa baada ya droo maalum itakayofanyika 'Live' na kurushwa na kituo cha televisheni cha Azam.Rais wa TFF, Jamal Malinzi jana jioni mjini Dar es salaam amesema kuwa fainali ya mwaka huu itahusisha timu za mikoa tofauti, Simba ya Dar e Salaam na Mbao FC ya Mwanza, hivyo itapigwa droo maalum ya kuchagua uwanja wa kufanyikia mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Adbox