Hali
hiyo ya dharura iliwekwa baada ya shambulizi la kigaidi
lililotekelezwa Novemba 20 mwaka 2015 katika hoteli ya Radison Blu
mjini Bamako.
Watu 22 walifariki katika shambulizi hilo ambalo lililaaniwa na jumuiya ya kimataifa.
Msuada wa sheria kuhusu kurefushwa kwa hali ya dharura nchini Mali ulichauliwa Ijumaa kwa kupigiwa kura 96 kwa 147.
Halli ya dharura imeongezwa kufuatia shambulizi lililolenga kambi ya jeshi ya Gourma Rharous kaskazini mwa Mali Aprili 19.

No comments:
Post a Comment