![]() |
| Terry amesema hakuna kilichosalia katika maisha yake uchezaji |
Nahodha wa klabu ya
Chelsea John Terry amesema kuwa huenda akastaafu baada ya kuwasaidia
mabingwa hao wapya wa EPL kuilaza Watford kwa magoli 4-3 dimbani
Stamford Bridge.
![]() |
| Ameshinda vikombe vitatu vya EPL |
Chelsea watakuwa wenyeji wa Sunderland siku ya Jumapili hii ikiwa ni mchezo wa mwisho kabisa kwa msimu huu.
Terry ameichezea Chelsea michezo 716 hii ikiwa ni tokea mwaka 1998.
Ameisaidia Chelsea kushinda vikombe vitano vya FA, Vitatu vya Ligi ya EPL, kombe la mabingwa Ulaya mara moja na Europa ligi mara 1.



No comments:
Post a Comment