![]() |
| Benjamini mchwampaka kamishina wa madini |
Serikali ya Tanzania
kwa kupitia Wizara ya nishati madini kwa kushirikia na chama cha wafanya
biashara wa madini Tanzania TAMIDA leo wameanza rasmi maonesho ya sita kimataifa
ya vito na madini yenye lengo la kukuza
Tanzania na kuifanya kuwa kitovu chabiashara ya madini ya vito duniani.
Akizungumza
katika uzinduzi wa maonesho hayo ambayo yanategemea kufanyika ndani ya siku
tatu jijini Arusha Katibu wizara ya nishati na madini Prfesa JEMES MDOE amesema Tanzania
imejaliwa kuwa na madini mbalimbali ya vito ambayo hupatikana nchini pekee kama
tanzanite hivyo maonesho haya yana lengo la kuunganisha wanunuzi na wafanya biashara
wa madini kutoka nchi mbalimbali duniani

Mkuu
wa mkoa wa mannyara Mh Joel Bendera ambae pia ni mgeni rasmi katika maonesho
hayo amesema ni fursa kubwa kwa maonesho haya kwasababu watu wanchi mbalimbali wanakuja
kushiriki hivyo ni faida kwa watanzania na nchi kwa ujumla na pia wizara
inafanya utaratibu wakuwa na senta ya kuongeza dhamani madini kwa mji wa
mirerani ambapo madini pekee ya tanzanite yanapatikana









No comments:
Post a Comment