Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli Amsimamisha kazi Chief Executive Officer wa TMAA na Avunja Bodi hiyo pia aagiza vyombo vya dola kuwachukulia hatua mara moja kuwafuatilia wafanyakazi wote wa TMAA walio husika wafikishwe kwenye mkono wa sheria. Maamuzi haya yametolewa mara baada ya kupokea Ripoti ya Uchunguzi wa mchanga wa madini leo
No comments:
Post a Comment