Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wameibua hoja tofauti kwenye mitandao ya kijamii baada ya Rais John Magufuli kupokea ripoti ya mchanga wa madini Ikulu, leo.
Katika akaunti yake ya Twitter, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameandika, “pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na tume.”
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe katika ukurasa wake wa Twitter ameandika, “utafiti unapingwa kwa utafiti. Kwa sasa Kamati ya Mruma Ndio rejea sahihi kwenye suala la mchanga na hivyo nakubali mapendekezo yaliyomo.”
Naye, Naibu Waziri Afya, Hamis Kigwangalla katika akaunti yake yaTwitter ameandika, “sishangai kumsikia Rais wetu akisema 'wasomi' tumeiangusha nchi. Kwa kila namna tunapaswa kujitazama sana.”
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameandika, “nimemsikiliza mheshimiwa Rais na kuendelea kuielewa nia yake njema ya kuisaidia nchi yake. Tuko pamoja na ninakuunga mkono.
- Tundu Antiphas Lissu @TunduLissu
Pongezi kwa Kazi nzuri iliyofanywa na Tume.
#RipotiMchangaJPM Nimemsikiliz Mheshimiwa Raisi na kuendelea kuielewa Nia yake njema ya kuisaidia Nchi yake. Tuko pamoja na ninakuunga mkono
Ukitazama Hansard ya bunge la bajeti mwaka 2011, nilisema kuhusu huku kuibiwa, nilisema ikibidi tuige kwa Evo Morales! #MchangaRipoti
Watu wanasema ninyamaze, nisiseme kitu sababu nipo serikalini! HAPANA! Nasema! Haya ya madini yananigusa sana, ni ajenda yangu toka 2011!
- Leo tuna maumivu ya kuibiwa dhahabu na madini mengine! Nzega tumebaki na mashimo matupu

Kwenye makontena 277 kulikuwa na tani 7 za dhahabu, zenye thamani ya Trilioni 1.147! #MchangaRipoti #MrumaReport
Dr. Kigwangalla, H. RetweetedYaaani kwa ile ripoti hadi mheshimiwa alitoa machozi, tunapaswa kumuombea RAIS WETU, kuna watu wanapaswa kuchukuliwa HATUA WANYONGWE no WAY
Mara nyingi wanasiasa huwa tunaambiwa 'haya ni ya kisomi/kitaalamu'
Kama hawakujua kuwa tunaibiwa, two things: conspiracy (walikuwa sehemu ya deal) ya muda mrefu ambapo walikuwa wakirithishana au 'ignorance'!
Ni ngumu sana kuamini kwamba 'wasomi' wetu hawakuwa wanajua kwamba tunaibiwa. Wabunge tulisema tukaonekana mbumbumbu! #MchangaRipoti
Ungeweza kusema 'wasomi' wetu hawakujua kama tunaibiwa (ignorance), walisoma nini sasa? Kwa vyovyote vile wawajibike tu! #MchangaRipoti
Sishangai kumsikia Rais wetu akisema 'Wasomi' tumeiangusha nchi. Kwa kila namna tunapaswa kujitazama sana! #Makinikia
President @MagufuliJP for what he is doing in the mining sector, is certainly a true patriot and a #GameChanger! I said this in 2011!

Kamati imebaini thamani ya makontena 277 yaliyofanyiwa uchunguzi kuwa ni kati ya wastani wa bil.829.4- tril.1.439 - #RipotiMchangawaDhahabuni vyema hata wale waliokuwepo kwenye maamuzi serikali zilizopita wachunguzwe ili wahusika wote wawajibishwe.
Duh pesa nyingi sana imepotea....naamini serikali itasimamia jambo hili kwa umakini lisije jirudia tena

No comments:
Post a Comment