Kiungo wa kati wa Pascara Sulley Muntari, amepigwa marufuku ya mechi moja baada ya kulalamikia matamshi ya kibaguzi.
Alipewa
kadi ya manjano baada ya kumuomba refa asimamishe mechi siku ya
Jumapili dhidi ya Cagliari akisema kuwa alikuwa akibaguliwa kwa misingi
ya rangi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Ghana mweye umri wa miaka 32,
kisha akaondoka uwanjani hatua iliyosababisha apewe kadi ya pili ya
manjano.
Mafisa wamesema kuwa sio mashabiki wengi waliebdesha ubaguzi kuweza kuchukua hatua.
Kamati
ya nidhamu ilikubaliana kuwa vitendo hivyo vilikuwa vibaya lakini sera
zake haziruhu hatua kuchukuliwa kwa kuwa ni chini ya mashabiki 10
walihusika.
Sasa aliyekuwa mshabulijia wa Tottenham Garth Crook
anasema kwa kila mchezaji wa kiafrika aliyeheshimiwa katika ligi ya
Itaia, anahitaji kugoma wikendi hii iwapo Sulley Mitari hawezi
kuondolewa marufuku ya kutocheza mechi moja.
Alipewa kadi ya manjano baada ya kumuomba refa
asimamishe mechi akisemaalikuwa akibaguliwa kwa misingi ya rangi

No comments:
Post a Comment