LATEST NEWS

Tuesday, June 27, 2017

Bolt asisitiza huu ni mzimu wake wa mwisho





Bingwa wa riadha duniani Ursain Bolt ameendelea kusisitiza kuwa huu utakuwa ni msimu wake wa mwisho wa riadha na kustaafu rasmi.

Bolt ameshinda medal inane za olimpiki na 11 za dhahabu katika mashindano mbalimbali ya riadha duniani.

Bolt amesema anajivunia mafanikio na changamoto alizopitia katika safari yake ya riadha na kusema amepata uzoefu wa kutosha.

No comments:

Post a Comment

Adbox