Mkenya Manvir Baryan na mwelekezi wake Drew Sturrock kutoka Uingereza wakiendesha gari aina ya Skoda Fabia ndio mabingwa wapya wa Mbio za Magari za Afrika duru ya Uganda.
Baryan alimaliza Pearl Rally kwa saa 2:09:13 akifuatwa kwa karibu na Fitidis (2:19:04) na Davite (2:19:51).
Duru zilizosalia katika Mbio za Magari za Afrika ni Tanzania (Agosti 4-6), Rwanda (Septemba 8-10) na Zambia (Oktoba 20-22).
No comments:
Post a Comment