Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimsikiliza Rais wa Mstaafu wa Ireland, MaryRobinson ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Rais huyo Mstaafu aliongozana na Mjumbe mwingine wa Taasisi
hiyo Bi. Graca Machel . (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimsikiliza Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
Robinson ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na

Hassan akizungumza na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
Robinson pamoja na Bi. Graca Machel ambao ni Wajumbe wa Taasisi
inayoshughulika na
Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, wengine pichani ni Ujumbe
ulioongozana na Viongozi hao pamoja na Wasaidizi wa Makamu wa Rais.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa

Hassan akimsikiliza Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Bi. Graca Machel ambaye aliongozana na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
Robinson kumtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam

Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
Robinson (kulia) ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na
Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, kushoto ni Mjumbe wa Taasisi
hiyo Bi. Graca Machel mara baada ya kumaliza mazungumzo kwenye ofisi za
Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais).

No comments:
Post a Comment