Hapi alidai, Mdee amemkashifu Rais na ndicho chanzo cha kutupwa rumande kwa saa hizo. Wakili wa Serikali Nassoro Katuga amedai kuwa Mdee akiwa Makao Makuu ya ofisi ya Chadema alitoa lugha chafu dhidi ya Rais.
Upelelezi bado haujakamilika lakini Mdee amepata dhamana kwa kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika ambao wao pamoja na yeye wamesaini bondi ya Sh 10milioni.
Source:mwananchi

No comments:
Post a Comment