Binti wa Miaka 20 Amuua Mdogo Wake na Kumficha Uvunguni Unknown April 25, 2018 Binti wa miaka 20 ambaye jina lake halikutajwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi Temeke jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kumuua mtoto wa m... Continue Reading
Madaktari wafanikiwa kufanya upandikizaji wa kwanza wa uume duniani Unknown April 24, 2018Jopo la madaktari katika chuo kikuu cha Johns Hopkins walipomfanyia upandikizaji wa uume Jopo la madaktari wamefanikiwa kufanya upandikizaji... Continue Reading
Mmiliki wa Shule Ajitolea kumsomesha mtoto wa Agness Masogange hadi chuo kikuu Unknown April 23, 2018Mmiliki wa Shule ya Sekondary ya St. Patrick ya jijini Dar es Salaam, Ndele Mwaselela amejitolea kumsomesha mtoto wa marehemu Agnes Masogan... Continue Reading
Mzee Majuto azidiwa, arudishwa hospitali Unknown April 23, 2018 Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam... Continue Reading
Waziri wa Maliasili Dkt. Kigwangalla atembelea meli ya Mfalme wa Oman, Dar leo Unknown October 18, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla amesema Tanzania na Nchi ya Oman wamefanya mazungumzo ya pamoja ya namna ya ku... Continue Reading
TAKUKURU Yawahoji Madiwani Waliojiuzulu CHADEMA Unknown October 18, 2017 Maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kutoka makao makuu jijini Dar es Salaam, wamewahoji kwa zaidi ya saa si... Continue Reading
WANAWAKE HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI WAOMBA ZOEZI LA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YASIO AMBUKIZA LIWE ENDELEVU Unknown October 12, 2017 Baadhi ya wanawake wa halmashauri ya mji wa Babati Mkoani Manyara wameeleza umuhimu wa taasisi zinazoendesha zoezi la uchunguzi wa magonjwa... Continue Reading
MVUA ZALETA MAAFA TABORA, WATANO WAPOTEZA MAISHA Unknown October 12, 2017 WATU watano wakazi wa Wilaya ya Igunga wamefariki duniani katika matukio mawili tofauti kufuatia mvua... Continue Reading
Dkt. Harrison Mwakyembe aahidi kuwatokomeza Waharamia wa Kazi za Filamu kwa maslahi ya Wasanii na Taifa. Unknown October 12, 2017 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kuhakikisha kwamba suala la uharamia wa kazi za filamu... Continue Reading
MBUNGE RITTA KABATI KUKARABATI SHULE ZA MSINGI MANISPAA YA IRINGA Unknown October 12, 2017 Mbunge wa viti maalam mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati amefanya ziara kwenye baadhi ya shule za msingi za man... Continue Reading
Kesi ya mamia ya magaidi wa Boko Haram yaanza kusikilizwa Nigeria Unknown October 10, 2017Wizara ya Sheria ya Nigeria imetangaza habari ya kuanza kusikilizwa kesi ya wanachama zaidi ya elfu mbili wa kundi la kigaidi la Boko Haram ... Continue Reading
TAKUKURU KUWAHOJI WANACHAMA CCM ZAIDI YA 10 Unknown October 10, 2017 Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Morogoro, Beutoz Mbwiga amewataka wanaolalamika kuhusu rushwa katik... Continue Reading
Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama, wilayani Sengerema AJINYONGA Unknown October 10, 2017 Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmasahauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Benerdicto Lweikiza (45) amejinyonga hadi kufa a... Continue Reading
Wananchi wa mji wa Kahama wameomba kufungwa kwa ofisi ya mtendaji wa kata ya Mhongolo kwa ubadhilifu wa mali za umma unaofanywa na viongozi wa ofisi hiyo. Unknown September 07, 2017 Na Alfred Bulahya KAHAMA Wananchi wa mtaa wa mbulu kata ya mhongolo halmashauri ya mji wa Kahama wamemuomba diwani wa kata hiyo Maiko Mizub... Continue Reading
TANESCO Mkoani Singida kuwasaka wanaoiba umeme mkoani humo Unknown September 07, 2017 SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Singida limeanza zoezi la kuwasaka na kuwakamata wateja wanaojiunganishia nishati ya umeme bila... Continue Reading
Mwili wa dereva wa bodaboda wazikwa mara ya pili Unknown September 06, 2017 Baada ya mwili wa marehemu Juma Hamis(26), ambaye ni dereva wa bodaboda mkazi wa Bomambuzi kufukuliwa jana katika makaburi ya Pasua kwa aji... Continue Reading
KESI YA MENO YA TEMBO INAYOMKABIRI YUSUF ALI ALMAARUFU MPEMBA WA MAGUFULI KUPELEKWA MAHAKAMA YA MAFISADI Unknown September 05, 2017 Watuhumiwa hao wakiwa katika viunga vya Mahakama ya Kisutu,mapema leo kwenye kesi yao ya kudaiwa kujihusisha na biashara ya meno ya tem... Continue Reading
Polisi yamkabidhi Manji kwa Mahakama Unknown September 05, 2017 Polisi imemkabidhi mfanyabiashara Yusuf Manji (41) na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kumaliza kuwahoji ... Continue Reading
POLISI YATUMIA MABOMU KUVUNJA MKUSANYIKO WA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA KICHINA WILAYANI SIHA Unknown September 05, 2017 Jeshi la polisi wilayani Siha mkoani Kilimanjaro liliwatawanya kwa mabomu ya machozi, wafanyakazi wa zamani ya kampuni ya Geo Engineering... Continue Reading
MAHAKAMA KUAMUA KAMA LISU ANA KESI YA KUJIBU AU LA OKTOBA 4 MWAKA HUU. Unknown September 04, 2017 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema October 4 mwaka huu, itatoa uamuzi kama Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu(Pichani) anayekabi... Continue Reading