LATEST NEWS

Tuesday, September 5, 2017

Breaking News .Taarifa za zinazo sadikika sasa zinasema watoto walio tekwa wamepatika wakiwa wamefariki dunia na kutupwa kwenye shimo eneo la Olkerian Kata ya Olasiti Jijini Arusha

Hakuna aliyethibisha taarifa kamili,Tutamtafta kamanda wa jeshi la polisi mkoani Arusha kamanda Chalse Mkumbo kwa kudhibitisha tukio hili
Image result for breaking news
Kwa taarifa zaidi Ungana na Sunrise radio 94.9 Arusha na 100.3 BABATI Katika Kipindi cha HABARI NA MATUKIO cha HII LEO

No comments:

Post a Comment

Adbox