Kufuatia kuvunjika kwa mkutano wa CUF hapo jana April 22, 2017 baada ya watu wanye silaha za jadi na mmoja akiwa na bastola kuvamia na kupiga Wanahabari na Wajumbe.
Mkutano ambao ulipangwa kufanyika katika Hoteli ya Vina, Mabibo, lakini kabla haujaanza, watu waliovalia soksi nyeusi usoni (maski) walivamia na kuanza kuwapiga wanachama wa CUF na waandishi wa habari, waliokuwa kwenye mkutano huo.eo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye ameyaandika haya kuhusiana na vurugu hizo zilizosababishwa na watu hao wasio julikana….>>>Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!! Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape
No comments:
Post a Comment