LATEST NEWS

Sunday, April 23, 2017

Ratiba ya nusu fainali ya Kombe la ASFC Simba vs ? Yanga vs ?

Droo ya nusu fainali ya Kombe la FA Tanzania ambalo linajulikana kama Azam Sports Federation Cup imechezeshwa leo April 23 2017 ili kupanga ratiba ya michezo ya nusu fainali, timu zilizokuwa zimefuzu nusu fainali ni Azam FC, Simba, Mbao FC na Yanga.
Ratiba imepangwa na Simba wao imepangwa kuwa watacheza dhidi ya Azam FC April 29 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wakati Yanga wao watacheza dhidi ya Mbao FC April 30 2017 katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Adbox