Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watano wakazi wa
Wilaya ya Sengerema kwa tuhuma za kukutwa na zana haramu za uvuvi
kinyume cha sheria.
.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amewataja watuhumiwa hao
waliokamtwa saa 10:00 alfajiri ya Aprili 21 mwaka huu, kuwa ni Poneja
Mkashi (51), mkazi wa kijiji cha Ngoma wilayani Sengerema na Simeo John
(23) na Mashaka Hitila (17).
Wengine wanaoshikiliwa kwa mahojiano
kabla ya kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa Kamanda Msangi ni Daniel
Lucas (25) na Turuzila Hitila (35), wote wakiwa wakazi wa Kijiji cha
Rubanda wilayani humo.
SOURCE:MWANANCHI
Sunday, April 23, 2017
Watano mikononi mwa polisi kwa uvuvi haramu
Tags
# HABARI MBALIMBALI
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
HABARI MBALIMBALI
Labels:
HABARI MBALIMBALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment