Mrembo huyo amekiambia kipindi cha Enewz cha EATV kuwa tangu kutajwe
kwenye wahusika wa matumizi ya madawa imemfanya kubadilisha mfumo wa
maisha kwa kuwa nyumbani kwa wazazi wake wamekuwa wagumu kumuelewa.
“Nimebadilisha mfumo wa maisha, naishi maisha ya low profile kwa sasa
ili mambo kwanza yatulie lakini nipo. Maisha ya mitandaoni nimeacha.
Suala la kutajwa linaniumiza kwa sababu nyumbani haikuwa rahisi
kueleweka na wazazi,” alisema Tunda.
Aliongeza, “Viongozi wanadai natumia mimi ndo niseme najitetea ukweli
ni vigumu mno lakini naamini kwenye ukweli uongo hujitenga pembeni ipo
siku ukweli utajulikana na maisha yataendelea kama kawaida. Niweke wazi
situmii madawa ya kulevya.”
Tunda na baadhi ya mastaa wengine wapo nje kwa dhamana baada ya kutuhumiwa kuhusika na matumizi ya madawa ya kulevya.
Wednesday, April 12, 2017
Tunda aeleza jinsi sakata la dawa za kulevya lilivyobadili maisha yake
Tags
# BURUDANI
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
BURUDANI
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment