LATEST NEWS

Monday, July 10, 2017

Malinzi ajiuzulu uongozi FIFA

Image result for jamal malinzi 

Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi amejiuzulu wadhifa wake wa ujumbe wa kamati ya maendeleo ya Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA).
Kupitia kwa wakili wake, Malinzi amewaandikia barua FIFA kuwataarifu kujitoa kwenye kamati hiyo kutokana na kuwa mikononi mwa sheria kwa sasa.

Malinzi pamoja na katibu wa TFF, Selestine Mwesigwa na mhasibu Nsiande Isawafo Mwanga wapo rumande hadi Julai 17, upelelezi wa kesi yao utakapokamilika baada ya kunyimwa dhamana Julai 3 katika kesi inayowakab

No comments:

Post a Comment

Adbox