LATEST NEWS

Thursday, July 13, 2017

SAFARI YA MWISHO YA MTANGAZAJI WA REDIO 93.7 EFM, SETH KATENDE MAARUFU BIKIRA WA KISUKUMA


MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akitoa salamu zake wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akitoa salamu zake kwa famila, ndugu na jamaa.

Baba wa marehemu, Mzee Katende (wa kwanza kushoto) akiwa ndugu zake marehemu wakiaga mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.


Mke pamoja na mtoto wa marehemu wakiaga mwili


MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi waClouds Media Group, Ruge Mutahaba(mwenye shati nyeusi) akiaga mwili mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar

Mtangazaji waClouds FM Gardner G Habash akiaga mwili




Mtangazaji wa EFM, Mpoki 'Mwarabu wa Dubai'( katikati) akiwa ameshikiriwa mara baada ya kuanga mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar






Sehemu ya Waombolezaji wakiwa katika Viwanja Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.







Baba wa marehemu, Mzee Katende akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuaga mwili wa kwanae Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma leo kwenye viwanja vya Leaders leo jijini Dar














Jeneza lenye mwili wa Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni, likiwa katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam kunakofanyika misa ya kuaga mwili wake hivi sasa, ambapo baada ya kumalizika kwa misa hiyo, Mwili wa Marehemu utapumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele katika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam mchana wa leo.

No comments:

Post a Comment

Adbox